MAHITAJI
π§π»♂️Parachichi nusu (inategemea na ukubwa)
π§π»♂️Black castor oil (mafuta ya mnyonyo) kijiko kimoja
π§π»♂️Ndizi iliyoiva nusu (au inategemea na ukubwa wa ndizi)
π§π»♂️Mafuta ya mzeituni (Olive oil) au mafuta ya nazi kijiko kimoja
JINSI YA KUANDAA
π§π»♂️Weka vyote kwenye blender saga hadi ilainike vizuri (kupata consistency nzuri),
π§π»♂️Baada ya kuosha nywele zako sasa paka hyo steaming halafu vaa kofia ya plastic (zile za kuogea) au kama una steamer ni nzuri zaidi.
π§π»♂️ Jifunge kitambaa ili joto lisitoke
π§π»♂️Kaa dk 35 ukimalza hapo osha na maji safi.
π§π»♂️Paka conditioner yako sugua sugua dk 5 baada ya hapo osha na maji ya barid.
π§π»♂️Baada ya hapo fuata LCO Method na kumalizia na mitndo kinga.
NB: Kwa kawaida Steaming hufanywa kila wiki yaani kwa mwez mara 3 halafu Protein steaming (Protein treatment) mara 1 kwa mwezi au kila baada ya wiki 6
No comments:
Post a Comment